king can janja
Member
- Feb 14, 2018
- 21
- 1
Ndugu dr, naomba msaada mke wangu bsdo mwezimmoja kujifungua ila ameanza kukooa kooa na pia tumbo hua linamuuma.
Hi ni kwasababu gani na dawa yake ni ipi,
Hi ni kwasababu gani na dawa yake ni ipi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnaendaga clinic?Ndugu dr, naomba msaada mke wangu bsdo mwezimmoja kujifungua ila ameanza kukooa kooa na pia tumbo hua linamuuma.
Hi ni kwasababu gani na dawa yake ni ipi,
Ndiyomnaendaga clinic?
wanajua kuhusu hili?Ndiyo
wanajua kuhusu hili?
Hawajuiwanajua kuhusu hili?
Kwanini hamuwaambii ili wampe matibabu!?Hawajui
Ebu nenda kituo cha afya shemeji.Kwanini hamuwaambii ili wampe matibabu!?
nashukuru nachukua ushauri ulionipa kwa kwenda hospitali,asanteEbu nenda kituo cha afya shemeji.