Msaada kwa mjamzito

Joined
Feb 14, 2018
Posts
21
Reaction score
1
Ndugu dr, naomba msaada mke wangu bsdo mwezimmoja kujifungua ila ameanza kukooa kooa na pia tumbo hua linamuuma.
Hi ni kwasababu gani na dawa yake ni ipi,
 
Nenda kituo cha afya.Wewe hauoni hali ya hewa imebadilika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…