Msaada kwa mkaka



Rest In Peace Love.....
 


haya ndio madhara ya dhambi!
Mungu atusaidie na atulinde tuondokane kwenye hili shimo la dhambi
 

Tangulia mwanajamii mpendwa Chetuntu. Tutakumiss lakini katika Kristo tutaonana milele, Aaamina.
 
wanaume tuna kazi!!!!!!!!!!!! Ndio maana waswahili wanapiga sana gahawa jioni kuepuka maudhi kama haya,ukiwa hushughuliki hata umnunulie V8 au Range 2011 Model, atakuwa anavutwa na hivyo vijamaa -aaaahgh
 
wanaume tuna kazi!!!!!!!!!!!! Ndio maana waswahili wanapiga sana gahawa jioni kuepuka maudhi kama haya,ukiwa hushughuliki hata umnunulie V8 au Range 2011 Model, atakuwa anavutwa na hivyo vijamaa -aaaahgh

Mkuu Mungu kamuita muanzisha maada, sasa hayupo tena duniani. May she rest in peace.
 
Hii ngumu sana majibu lazima yawe tata na mume halali akijua kwa namna yyote ile ni talaka tu
 
kweli kaz ipo hapo wanawake wa siku hizi ni mabom tu yakilipuka ndo shida hapo du unalea mtoto sio wako inauma sana
 
Duh! Yaani utadhani mshikaji bado yupo jamvini vile. RIP Chentutu.
 
Tutakukumbuka kwa mawazo yako ila tunakukumbua na zaidi tutakuenzi kwa yale mema.tulikupenda mungu amekupenda zaidi.upumzike salama.REST IN PEACE
 
hizi kesi zinahuzunisha sana lakini sio mwizi kwa mfano kunajamaa yangu anamtoto ana miaka 15 na mtoto amemaliza darasa la saba mwaka huu. lakini baba anaye lea anajua ni mtoto wake lakini jamaa huyu ndiye mtoto wake hata mama yake huwa anamwambia mtoto kuwa jamaa ni mjomba wake akionana anamwita mjomba. Na mapaka sasa wanampango wakumpeleka mtoto shule hata kama akishindwa mtihani jamaa yuko radhi kumpeleka private.
 


Daaaah
Kweli duniani sio kwetu
 
Jee huyu kaka alieibilwa ana Silahaa? Chonde chonde hali inaweza kuwa mbaya sana haopo......inaitajika counseling ya hali ya juu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…