Msaada kwa mkaka

mie ishu yangu kubwa na huyu dada ni kwamba alishindwa kusoma alama za nyakati, kulikuwa na ulazima gani kumwambia huyo mwizi mwenzie kwamba mimba ni yake?

Nyamayao besti hapo bold kweli muhimu, kwanini alijichetua kumwambia kaka mwizi kuwa ana mimba?!..sasa mwenzie kakamilisha mambo kwa mkewe halafu mke mwizi analo na hakika lazima apigwe talaka..bladi stupid!!
Yani alishindwa hata kutumia akili za duniani kudeal na hili tatizo kabla halijafika hapa? kweli mke mwizi hamnazo kabisa!!
 
Hapo inajionesha wazi kuwa wewe ni mmoja kati ya wahusika katika hilo tukio.
 
ngoja nimuulize , ntarudi. Ila mdada anafahu mapito yake.

Umuulize nani sasa?

Mimalaya kama hiyo unaweza kuta hata hilo jamaa linalotamba kutaka kumwona mwanaye ukute wala siyo mwanawe!!

Amini amini nawaambieni: Mwanamke anayetoka nje ya ndoa hatoki na mwanaume mmoja! Halijatosheka na mmewe litatosheka kwa huyo mmoja wa nje?.....Liambieni hilo lidume lisijishongondoe, labda hata yeye si mwanaye akalishwa kibudu!

Kina mama acheni kujiharibia sifa zenu nzuri za uaminifu....Tulioruhusiwa kutoka nje ya ndoa zetu ni wanaume pake yetu!
 
Mbu acha kabisa kibaya dada ndoani ana watoto 4 plus huyu wa mkaka. Sa hizi ana kachanga 5 months.

mie naomba kujua kama walipanga kabisa wazae au ni mdada alishika mimba akaona afanye wema kumwambia huyo mkaka kwamba ni mimba yake?...hili game bwana, hapo kaka akija kumchukua mwanae mume ndio anajua ukweli wa mambo baada ya kumtunza mtoto kwa muda wote huo, ndoa inakufa mume nae anaweka hadharani alionao huo nje sema alikuwa anamlindia mkewe heshima acjue....hahahaha
 
Hahhaha

Unajua chanzo cha cheating kwenye ndoa?..............Ni kimoja tu: Pale Malaya wa kiume anapooa na changudoa wa kike anapoolewa!

Hatari sana hii!

Ha ha mbavu zangu Asprin...ila sidhani kama hii ni applicable kwa wanandoa wote!!..hata wewe na mama naniii utasemaje??!!..Hatari sana kweli

Game la masaa kadhaa likuvurugie mipango ya maisha hivi jamani kama hawa wezi??no way, walizidi na hakika wapate wanachostahili hamna zaidi!!!
 
mie ishu yangu kubwa na huyu dada ni kwamba alishindwa kusoma alama za nyakati, kulikuwa na ulazima gani kumwambia huyo mwizi mwenzie kwamba mimba ni yake?

....mnh! Nyamayao, wanawake wengi husema "ukweli" linapokuja suala hili.
Wengine hufikia hata kuwaambia"ukweli" wanaume wengine wawili - watatu iwapo
hana uhakika ni yupi 'aliyetumbukiza mpira kimiani.'
 
Hapa naona dada yangu ameshakasirika.

Mshiki nimekumisi upeo.
 
hebu hukoo muone vile.... na cku hizi wamama wamechachamaa kweli kweli nani anataka ma stroke ya kujitakia, wewe unafanya hadharani mama matesha anajua kwamba una eliza yeye anafanya gizani bila wewe kujua, cku ukijua ni booom!haya mnayataka nyie wanaume...
 
Anabadilisha kama nguo.
This time wa mume halali

Hehehehe watoto watano..wa. mume..wa mwizi..wa mume..wa mwizi..wa mume!Wow mume kabahatika kuchukua wakwanza na wa mwisho!Imagine huyo mtoto ukaribu wake na nduguze utaathirika vipi iki moto utawaka baba mlezi akaanza kumtenga!
 
Sasa BJ unacheka nini wakati wenzako huko wanazalishana...mme wa mtu kwa mke wa mtu......Damn! Hivi nani katenda kosa kubwa zaidi hapo?
 
Hiyo lugha leo kweli umekasirika sijawahi kuona ukiandika hivyo
 
Mimi nikitokana Eliza, naye atoke na kisharobaro chake, hiyo angalau inalipa kuliko kwenda kuvamia ndoa za watu wengine...hata shetani hapendi kudadadeki!

Huyu jamaa angekuwa amemmimbisha baamedi, hii kesi isingekuwa kompliketed namna hii...
 
He he..nani kakwambia wanawake wote ni waaminifu?na nyie wanaume mliruhusiwa na nani kutoka nje ya ndoa zenu? Bia au vishawishi?..all in all inauma sana mtu anapocheat na kuzaa kabisa mtoto nje, hata mambo yenu yanavurugika tena kama mmeoana ni kabisaa unaweza kupata shock ya maisha!!

Ndoa za siku hizi mikasa tele ambayo inachangiwa sana na tamaa, kushindana/kukomoana,uongo, kupotea kwa nidhamu juu ya maana halisi ya ndoa nk..
 
Sasa BJ unacheka nini wakati wenzako huko wanazalishana...mme wa mtu kwa mke wa mtu......Damn! Hivi nani katenda kosa kubwa zaidi hapo?

wote wawili...hakuna mwenye afadhali.
 
Sasa BJ unacheka nini wakati wenzako huko wanazalishana...mme wa mtu kwa mke wa mtu......Damn! Hivi nani katenda kosa kubwa zaidi hapo?

Jizi la kiume kwa kupanda shamba la mwenzie then jizi la kike kwa kumruhusu jizi la kiume kupanda kwenye shamba la mumewe!
 
....mnh! Nyamayao, wanawake wengi husema "ukweli" linapokuja suala hili.
Wengine hufikia hata kuwaambia"ukweli" wanaume wengine wawili - watatu iwapo
hana uhakika ni yupi 'aliyetumbukiza mpira kimiani.'

Mke mwizi alikosea sana kuruka majivu na kukanyaga moto Mbu!..hata kama ni kusema ukweli ingebidi aangalie athari zake mbeleni siyo wakati anaikatikia!..kachemsha bigtime, sijui jamii na ukoo wao utamwelewaje mumewe halali akijua..
 
Kama mkaka mwizi kalima katika shamba si lake, mazao ni ya mwenye shamba sio yake. Kwa yeye inatosha kushukuru na kuomba Mungu kuwa mwenye mke halielewi hili, vyenginevyo ajitayarishe, atakosa mtoto na uhai.
 
Mimi nikitokana Eliza, naye atoke na kisharobaro chake, hiyo angalau inalipa kuliko kwenda kuvamia ndoa za watu wengine...hata shetani hapendi kudadadeki!

Huyu jamaa angekuwa amemmimbisha baamedi, hii kesi isingekuwa kompliketed namna hii...

hapa Babu yupo kikazi zaidi lol....!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…