Ila we ukiteleza usamehewe?
...Familia ya kiume na mke wa mwizi imekomaa inataka kumuona huyo mtoto. Mume wa dada hana ajualo. Nisaidieni kaka aanzie wapi, na familia ya mkaka mwizi na mdada ni marafiki toka udogoni..
Nawasilisha.
itakuwa majonzi sana na mbaya zaidi ukute huyo baba anampenda sana huyo mtoto ambaye sio wake
Inauma sana asee.....
Mabinti kibao mtaani hawajaolewa wanatafuta watu wakuwamimbisha, we unaenda kufinyanga baioloji ya mtu aliyejibinafsishia na kuilipia mahari lukuki....unaitumia kama yako na kusokomezea mimbegu yako mumo kwa mumo.....LOL
Yaani na yeye azalishe mke wa mtu au???
BW ndo maana wahenga walisema mkuki kwa ngurue mtamu...!Wanaume kibao wanazaa nje na kutaka kusamehewa ila mwanamke yeye hata kufikiriwa mara moja tu hapana!Ni ubinafsi uliokithiri...kama hawataki mbegu za wanaume wenzao majumbani mwao na wao wasisambaze zao kwa watu wengine!
BW ndo maana wahenga walisema mkuki kwa ngurue mtamu...!Wanaume kibao wanazaa nje na kutaka kusamehewa ila mwanamke yeye hata kufikiriwa mara moja tu hapana!Ni ubinafsi uliokithiri...kama hawataki mbegu za wanaume wenzao majumbani mwao na wao wasisambaze zao kwa watu wengine!
Hiyo bahati mbaya ikizaa mtoto je?Maana hata hawa sidhani kama walipanga..kuna uwezekano nao hili sakata limetokana na BAHATI MBAYA yao!Lizzy darling....
Mi si mwaminifu, hilo sikatai. Ila kulichomeka libaioloji langu kwenye donati la mtu aliyeolewa? Hapana asee!.... Halafu ni heri basi nilisokomeze kwa bahati mbaya ya kishetani....(Mungu apitishe mbali)..Ndo kuzalisha tena?.........Hiyo pia yaweza kuwa ushetani wa kupitiliza......sasa balaa kubwa
Hiyo bahati mbaya ikizaa mtoto je?Maana hata hawa sidhani kama walipanga..kuna uwezekano nao hili sakata limetokana na BAHATI MBAYA yao!
Mmmmh!Lizzy hebu acha kuniogopesha bana,
ndo jino kwa jino sytle au ndo uwana harakati wenyewe huu?
...Huyu mke nae kwanini ameikomalia hii kesi? ...ama dunia ni uwanja wa fujo!
...kiukweli, huo ndio ukweli wenyewe.
uchungu wa mke, aujuae mume!!!!!
Hehehe haya ngoja nirudi kwenye mada...wote hawastahili huruma!Wangepewa talaka ili wawe jizi+jizi=majizi ili wasio na hatia wasiendelee kuonewa!Lizzy...kuzaa nje si hoja hapa ujue. Hoja hapa ni mme wa mwanamke asiye na hatia kuzaa na mke wa mwanaume asiye na hatia.
Sindo nyie wanaume hua hamchoki kuimba ule wimbo wa "Damu yangu haiwezi kupotea"???Ndicho mwenzenu anachofanya!Sasa ndo lidume likajishobodoe kudai mtoto? Si heri akauke bahati mbaya iendeleekuwa mbaya?
Lizzy darling....
Mi si mwaminifu, hilo sikatai. Ila kulichomeka libaioloji langu kwenye donati la mtu aliyeolewa? Hapana asee!.... Halafu ni heri basi nilisokomeze kwa bahati mbaya ya kishetani....(Mungu apitishe mbali)..Ndo kuzalisha tena?.........Hiyo pia yaweza kuwa ushetani wa kupitiliza......sasa balaa kubwa zaidi..........eti KUMDAI MTOTO????? .............$%*&^%*$# ZAKE!!
Hayo matusi adhabu yake ni kuuana tu! Aidha aniue au niue!
Anyway...nimeandika vya kutosha ngoja nimalizie hivi:
Wanaume: Mtafuneni sana mke wangu, ili mradi nisijue......Hilo litapita kushoto:
Wanawake: Njooni niwatafune (kama hamjaolewa), ila Mai waifu wangu asijue....sitaki kumuumiza
Wanaume: Mmimbisheni mke wangu, nitawalelea wanenu, ili mradi nisijue.......Hilo litapita kushoto
Wanawake: Njooni niwamimbishe (kama hamjaolewa) ila maiwaifu wangu asijue.....sipendi kumuumiza
Wanaume: ONYO: Msithubutu kuja kuwadai watoto wenu mliomzalisha mke wangu, ambao wananiita baba!
Naogopa sana murder case, Msinitie majaribuni.
Na hili ndilo neno la Babu ODM Bigi braza Asprin
Tumshukuru Invizibo