Mi nimepiga kidato cha 5&6 pale, requirements kidato cha kwanza zimeorodheshwa kwenye joining instruction unayoipata baada ya matokeo ya interview kutumwa kwa wahusika kupitia postal address mlizojaza kwenye form. My take, fanya kama ulivyoagizwa ujanjaujanja hautakiwi pale shule.