Msaada: Kwa msichana aliyevunjwa bikira damu hutoka kwa muda gani?

Msaada: Kwa msichana aliyevunjwa bikira damu hutoka kwa muda gani?

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
189
Habari zenu wakina dada wa Jf.
Hebu naombeni uzoefu wenu,hivi inachukua muda gani damu kuacha kutoka kwa msichana aliyevunjwa bikira?
Msaada tafadhali!
 
We bado inatoka?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ooooh... Nadhani inategemea mtu na mtu... Mi ilikaa kama masaa nane hivi..!
 
shosti lara 1 bado ipo? Kumbe shem wangu mchaga mvumilivu eeeeh
 
Last edited by a moderator:
Najua we unayo ile ya njia nyingine ambayo umesema marufuku..lol
unless uniambie nayo iko sokoni? lol

Hahahaaa! CREDIBILITY APPROACHING 0!!!!!!!!!!!!!! UKIULIZWA UMEPROVE???????? UTAJIBUJE? JST A MARE SPECULATION!!! HENCE HUNA GROUNDS ZA KUSHNDA KESI!! TOA USHAHIDI USIO NA SHAKA YOOTE KUWA IM NOT?
 
Hahahaaa! CREDIBILITY APPROACHING 0!!!!!!!!!!!!!! UKIULIZWA UMEPROVE???????? UTAJIBUJE? JST A MARE SPECULATION!!! HENCE HUNA GROUNDS ZA KUSHNDA KESI!! TOA USHAHIDI USIO NA SHAKA YOOTE KUWA IM NOT?

wewe kama bikra
basi na Madonna pia ni bikra..lol
 
USIBISHIE MSULI THE BOSS!! Toa FACTS!!! No Evidence No right to Condemn!!! INOCENT UNTILL PROVEN GUILTY!!!:lol:

ok tuseme we ni bikira..
good luck na bikira yako lol

ngoja nimtafute mke wangu hapa...
umemuona wapi Kongosho?
 
Last edited by a moderator:
Basi kila mtu bikira kama ww ni bikira.
Ahah just like that sijamtaja mtu lara 1 nije nione kama kweli ww ndiwe

Sent from my BlackBerrtuy 9860 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
wazazi inabidi tufundishe binti zetu kwa kweli, nao watawaelekeza boi frendiz zao huko mashuleni lol
 
Habari zenu wakina dada wa Jf.
Hebu naombeni uzoefu wenu,hivi inachukua muda gani damu kuacha kutoka kwa msichana aliyevunjwa bikira?
Msaada tafadhali!

Why wanawake tu? Hata siye ambao ndio huzitungua tunaweza kukuambia kwa sababu ndo tunatoa first aid so tunajua hadi mambo yalipotulia ilichukua muda gani tukafua na yale mashukaa ya guest....
 
Back
Top Bottom