Wadau habari zenu, kama nilivyoeleza hapo juu nahitaji mtaalam yoyote kutoka wizara ya madini anisaidie kunieleza kuna aina flani ya mchanga wa madini yanayotumika sana kwenye viwanda vya chuma yanaitwa MILL SCALE. Je jina lake kwa kiswahili yanaitwaje? Natanguliza shukrani.