msaada kwa mtoto ambye hataki kunyonya

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,877
Reaction score
5,022
Ni week ya pili sasa tangu mwanang Blesswell amezaliwa ila hataki kabisa kunyonya na tumempeleka hospt hana shida yeyote hata kidogo so tunampa maziwa ya ngo'mbe ambyo sio rasmi

naomba ushauri wenu tuanze kumpa chakula au maziwa gan coz ni mdogo sana

ahsanten kwa ushauri wenu mzuri
 
Chakula...?! Two weeks!! ...hapana.
Mlazimisheni taratibu lkn ni vyema kumpatia maziwa yale ya watoto km infacare etc hayo ya ngombe sidhani km ni mazuri kwa watoto wachanga hivyo.
Ushauri mzuri zaidi muone daktari wa watoto ili akupangie nini hasa umpatie mtoto wa wiki mbili.
 
Watoto wengune hukataa ziwa la mama kwasababu ya nipple confusion ikiwa unampa nyonyo na formula ila pia wapo ambao hulikataa bila ya sababu hiyo ...

Mjaribu kumpa maziwa ya watoto plz plz usimpe maziwa ya ng'ombe hadi afike miezu 9 au mwaka
 
Ahsanteni sana kwa ushaur wenu mungu aendlee awabariki
 

Pole dear, mpe C-26 ndio walao yana uhakika wa ubora nunua no 1 ndio stage one from 0-6 months hayo ndio yatamfaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…