Msaada kwa mtu aliyeongezewa damu

Msaada kwa mtu aliyeongezewa damu

Ndigwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
210
Reaction score
59
Naombeni ushauri.

Mke wangu aliongezewa damu kutokana na kuvuja damu nyingi, tatizo ni kwamba tangu ameongezewa damu, miezi mitatu ilipita, amekuwa akisikia mvutano kifuani, mapigo ya moyo kwenda kasi na utosini kuvuta. Wingi wa damu uko vizuri (10) na alipima moyo na kuonekana hauna shida.

Sasa hatujui tatizo nini, naomba msaada tafadhali.
 
Kaka muone dokta mapema huenda damu aliyoongezewa si yenyewe. Ana negative then anawekewa negative. Muone sokta ndio atakwambia ukweli. Au unatutania. Mkeo kweli anaumwa unakuja kutafuta ishauri jf.
 
Kaka muone dokta mapema huenda damu aliyoongezewa si yenyewe. Ana negative then anawekewa negative. Muone sokta ndio atakwambia ukweli. Au unatutania. Mkeo kweli anaumwa unakuja kutafuta ishauri jf.

Mbona JF unaweza saidika vema zaidi mkuu!
hujawahi patwa na jambo likatatulika JF ehee?
 
Kaka muone dokta mapema huenda damu aliyoongezewa si yenyewe. Ana negative then anawekewa negative. Muone sokta ndio atakwambia ukweli. Au unatutania. Mkeo kweli anaumwa unakuja kutafuta ishauri jf.

Ndugu yangu achana na JF kabisa humu kuna madaktari wa ukweli

Hapashindikani kitu hapa
Si unajua penye wengi hapaharibiki neno
 
Naombeni ushauri. Mke wangu aliongezewa damu kutokana na kuvuja damu nyingi, tatizo ni kwamba tangu ameongezewa damu, miezi mitatu ilipita, amekuwa akisikia mvutano kifuani, mapigo ya moyo kwenda kasi na utosini kuvuta. Wingi wa damu uko vizuri (10) na alipima moyo na kuonekana hauna shida. Sasa hatujui tatizo nini, naomba msaada tafadhali.

Pole ndugu usijali atapona
 
Back
Top Bottom