Kaka muone dokta mapema huenda damu aliyoongezewa si yenyewe. Ana negative then anawekewa negative. Muone sokta ndio atakwambia ukweli. Au unatutania. Mkeo kweli anaumwa unakuja kutafuta ishauri jf.
Kaka muone dokta mapema huenda damu aliyoongezewa si yenyewe. Ana negative then anawekewa negative. Muone sokta ndio atakwambia ukweli. Au unatutania. Mkeo kweli anaumwa unakuja kutafuta ishauri jf.
Naombeni ushauri. Mke wangu aliongezewa damu kutokana na kuvuja damu nyingi, tatizo ni kwamba tangu ameongezewa damu, miezi mitatu ilipita, amekuwa akisikia mvutano kifuani, mapigo ya moyo kwenda kasi na utosini kuvuta. Wingi wa damu uko vizuri (10) na alipima moyo na kuonekana hauna shida. Sasa hatujui tatizo nini, naomba msaada tafadhali.