Wakuu tunaomba ushuhuda wa watu waliokwishafanya biashara na hii kampuni inayojitangaza imesajiliwa China na Tanzania kuwasaidia wafanyabiashara wa Tanzania kuagiza bidhaa kutoka China. Watu tunahofu tusije tukaingizwa mkenge!! Si unajua tena wa-TZ kwa fursa hatujambo!!