Msaada kwa mtu anayekifahamu chuo cha DMI

King kibamia

Member
Joined
Sep 26, 2020
Posts
5
Reaction score
4
Naomba kufahamishwa jinsi ya kujiunga na chuo cha DMI kwa kozi fupi,muda wa kozi na gharama za ada
 
Duhhhh...😲
Mungu awasaidie sana watoto wetu...
 
Naomba kufahamishwa jinsi ya kujiunga na chuo cha DMI kwa kozi fupi,muda wa kozi na gharama za ada
kinaitwa daughters of mary immaculate
almaarufu st.joseph
ada zipo juu kidogo depending on a course u wanna pursue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…