tonny miles Member Joined Jan 11, 2018 Posts 20 Reaction score 11 Aug 16, 2022 #1 Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo eleza. Nataka kufanya biashara na hawa jamaa kwa anayefahamu au alisha wah kufanya nao biashara naomba kufahamu wana tuma kweli mizigo au longo longo. View attachment 2325788View attachment 2325789 Attachments Screenshot_20220816-233523_Facebook.jpg 25.2 KB · Views: 12
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo eleza. Nataka kufanya biashara na hawa jamaa kwa anayefahamu au alisha wah kufanya nao biashara naomba kufahamu wana tuma kweli mizigo au longo longo. View attachment 2325788View attachment 2325789
Nobunaga JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 1,205 Reaction score 5,121 Aug 16, 2022 #2 Ukitaka kununua kitu online hakikishaunagoogle reliable sources, achana na hizo sources za insta.
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Aug 17, 2022 #3 Utaliwa mkuu achana nao
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,446 Reaction score 10,976 Aug 17, 2022 #4 Kuwa makini sana kijana dunia haifai.
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 8,860 Reaction score 11,554 Aug 17, 2022 #5 tonny miles said: Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo eleza. Nataka kufanya biashara na hawa jamaa kwa anayefahamu au alisha wah kufanya nao biashara naomba kufahamu wana tuma kweli mizigo au longo longo. View attachment 2325788View attachment 2325789 Click to expand... Usihangaike mkuu,nicheki nikuagizie kutoka Dubai. +971527794329 whatsapp
tonny miles said: Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo eleza. Nataka kufanya biashara na hawa jamaa kwa anayefahamu au alisha wah kufanya nao biashara naomba kufahamu wana tuma kweli mizigo au longo longo. View attachment 2325788View attachment 2325789 Click to expand... Usihangaike mkuu,nicheki nikuagizie kutoka Dubai. +971527794329 whatsapp