Msaada kwa mtu mwenye uelewa wa lugha ya Kingoreme

Msaada kwa mtu mwenye uelewa wa lugha ya Kingoreme

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,372
Reaction score
54,943
Habari za humu wadau, nahitaji msaada kwa yeyote mwenye kufahamu vyema lugha ya Kingoreme nahitaji kusaidiwa jambo dogo tafadhali.

Kama unafahamu lugha hii naomba msaada, lugha hii huzungumzwa hasa na wakazi wa Serengeti, Mkoani Mara.
 
Ingia Facebook Search MARA KWETU utapata watu wa mkoa wa MARA wakiwemo hao Wangoreme. Mimi Ni wa MARA lakini Ni Mkurya jamii ya WAIREGE
 
Back
Top Bottom