Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Apr 21, 2020 #1 Habari za humu wadau, nahitaji msaada kwa yeyote mwenye kufahamu vyema lugha ya Kingoreme nahitaji kusaidiwa jambo dogo tafadhali. Kama unafahamu lugha hii naomba msaada, lugha hii huzungumzwa hasa na wakazi wa Serengeti, Mkoani Mara.
Habari za humu wadau, nahitaji msaada kwa yeyote mwenye kufahamu vyema lugha ya Kingoreme nahitaji kusaidiwa jambo dogo tafadhali. Kama unafahamu lugha hii naomba msaada, lugha hii huzungumzwa hasa na wakazi wa Serengeti, Mkoani Mara.
R RAHIMU New Member Joined Nov 4, 2008 Posts 2 Reaction score 0 Apr 22, 2020 #2 Write your reply...ay mwenye kufahm
S Single Phase JF-Expert Member Joined May 5, 2019 Posts 259 Reaction score 375 Apr 27, 2020 #3 Ingia Facebook Search MARA KWETU utapata watu wa mkoa wa MARA wakiwemo hao Wangoreme. Mimi Ni wa MARA lakini Ni Mkurya jamii ya WAIREGE
Ingia Facebook Search MARA KWETU utapata watu wa mkoa wa MARA wakiwemo hao Wangoreme. Mimi Ni wa MARA lakini Ni Mkurya jamii ya WAIREGE