Habari wana JF,hongereni sana kwa wale waalimu waliopata ajira mpya,Mungu awaongoze mnapoenda kulijenga taifa.
Nilikua muajiriwa serikalini lakini niliondoka 2012 na kwenda taasisi flan,Mwaka jana niliiomba ajira Mpya kwa bahati nzuri nimepata,nipeni mbinu za kuingia kule waheshimiwa maana nasikia unaweza kukataliwa.Asanteni.