pingli-nywee MK254 msaada wenu.
Ngoja kwanza, hao rafiki zako ni mabeberu?Naomba msaada kwa mwana JF yoyote ambae yuko Nairobi
Kuna marafiki zangu wanatoka US wanataka kukaa Nairobi for 1 week. Sasa wanataka hotel au lodge ambayo ni safe kwao.
Msaada ambao naomba ni kama kuna mwana JF ambaye yuko Nairobi na anaweza kurecomand any hotel au lodge ambayo ni mzuri na wageni wangu watakaa kwa usalama.
Thank you