NimekusomaKwa mzunguko wa 28 hapo ni 13,14,15 siku hz tatu 14 ndio costant, ili kuondoa wasi wasi fanya siku hz 3 mfululizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hatuangalii tarehe tunaangalia siku zenye uwezekano wa kupata mimba kwa mtu mwenye mzunguko wa siku 28 zikuzake za kupata mimba ni kuanzia siku ya 11 hadi siku ya 17 tangu amepata hedhi ila siku ya 14 ndiyo siku muhimu kwasababu yai hutoka sehemu yake na kwenda katika mji wa mimbaJe siku zake za kupata mimba ni kuanzia tarehe ipi?mzunguko wake ni siku 28 na humaliza siku zake kila baada ya siku 3-4.
Nimejaribu kupekua kwenye app tofauti tofauti naona wananichanganya tu nikaona nije kwenu,msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app