CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
Habari ndugu zangu matumaini yangu ni kuwa mu wazima wa afya na kama kuna changamoto yoyote usikate tamaa ndio ubinadamu.
Leo nilikua siko poa, na mara nyingi napokua katika situation kama hii napenda kusikiliza mziki au kusoma bibilia ili kurudi kwenye mood.
Sasa leo katika kusoma kwangu Bible nikajikuta nafungua kitabu cha mwanzo ndio nikawa nasoma jinsi Mungu alivyoiumba dunia na vyote vilivyomo, lakini wakati nasoma nikajikuta katika tafakari kubwa.
Kuna maswali nilikosa majibu nikaona siyo vibaya nikishea hapa najua kuna wa watu wako deep sana na bible, maswali niliojiuliza ni kama ifuatayo.
Kwanini Mungu alipokua anaumba ulimwengu alitumia komandi kwa mfano Mungu akasema na iwe mchana na iwe usiku, yahani hapa Mungu alitumia komandi, lakini ilipo kuja suala la kumuumba binadamu alitulia na kusema tumuumbe mtu kwa mfano wetu sisi, hapa mungu alikua anaongea Nani?
Je hapa sio kwamba bibilia inatuonesha kua kwamba dunia iliumbwa na miungu na sio mungu mmoja
Karibuni wajuzi wa bibilia tujadili neno la Mungu.