Msaada Kwa mwenye Gari Ndogo Used/mpya Anayeuza!!

Msaada Kwa mwenye Gari Ndogo Used/mpya Anayeuza!!

Muislaam

Senior Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
129
Reaction score
43
Habari!! jamani, mimi ni Dereva leseni D, kwa sasa naishi Kigambon Dar es salaam nilikuwa naomba kwa mwenye au anayeuza gari ndogo aina yoyote inayofaa kwa anayeuza kwa ajili ya shughuli ndogondogo za kujiingizia kipato, tunalewane bei malipo nitakuwa nakulipa kidogokidogo ndani ya miezi tisa!! naomba msaada kwa sasa sina shughuli yoyote ya kunikwamua!


Mawasiliano yangu ni. 0714 306015, 0759601820
 
Back
Top Bottom