Naona leo umeandika kistaarabu ,manake jana ulikua unatumia namba 3 kama irabu e!
Kimsingi ni kwamba cheti ulichofaulu zaidi ndicho hutumika!!
Pili,ulitakiwa useme hiyo div4.27 umepata alama zipi kila somo ili tukupe ushauri wa kufanya kwan kuna alama nyingine unaweza kusoma chuo na kutolazimika kurisiti!!