Msaada kwa mwenye line za m-pesa,tigo pesa na airtel money

Mgonjas

Member
Joined
May 21, 2019
Posts
8
Reaction score
7
Habarini wapendwa wangu,samahanini mimi ni mgeni hapa lakini nilikua na uhitaji kama kichwa cha habari kilivyoelezea mwenye navyo naomba tuwasiliane,asanteni ndugu zangu.
 
Mkuu watakuja ila sikushauri sana njia hii kwa kipindi hichi cha vidole
 
Unanishaurije ndugu yangu?tafadhali ushauri wako ni msaada kwangu
 
Nenda kwenye ofisi ya mtandao husika utapata yote na utapata line kwa jina lako.

Sasa hivi mkuu usipende shortshort zinaweza kukugharimu, vigezo ni vile vile leseni ya biashara, mtaji kiasi kwaajili ya deposit kwenye line yako.

Kampuni nyingine ni 500 000 nyingine ni chini ya hapo so ni mambo mepesi na ya uhakika.
 
Nashukuru saana aisee japo naskia inachukua MDA saana lakini nitafatilia tuu.
 
Una patikana wapi ndugu mie ninazo za voda na Airtel money
Habarini wapendwa wangu,samahanini mimi ni mgeni hapa lakini nilikua na uhitaji kama kichwa cha habari kilivyoelezea mwenye navyo naomba tuwasiliane,asanteni ndugu zangu.
 
Mm nnayo line ya tigopesa na nahitaji tu 170k kama upo interested nicheki kwa namba hii 0689678725
Habarini wapendwa wangu,samahanini mimi ni mgeni hapa lakini nilikua na uhitaji kama kichwa cha habari kilivyoelezea mwenye navyo naomba tuwasiliane,asanteni ndugu zangu.
 
Habarini wapendwa wangu,samahanini mimi ni mgeni hapa lakini nilikua na uhitaji kama kichwa cha habari kilivyoelezea mwenye navyo naomba tuwasiliane,asanteni ndugu zangu.
Ninayo mkuu nicheki 0784112347
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…