Oxford lakini mkuu si unge google kwanza kabla haujaja hapa? Ila tusiwazuie watu ngoja wengine walete ma uzoefu maana wengine ni wa ulaya mashariki sasa sijajua una maanisha uzuri wa namna gani.
Asanteni sana ila kama kuna vingine naomba muendelee kuniorodheshea. Tatizo ni kwamba niki google napata vyuo vyote vya Uk ila sio vile best. Inakua vizuri kama kuna mtu mwenye information, because hakuna chuo kitakachosema kua sio the best.