fasi dwasi
R I P
- Sep 23, 2018
- 105
- 108
Natafuta hospitali ambyo inatoa huduma bora ktk vipomo na matibabu ya magonjwa ya kifua, mfumo wa upumuaji hasa Pneumonia, TB na matatizo ya mwili nzima lakini ni hapa Dar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinondoni hospital maarufu kama kwa mvungi. The best and cheap hospital sijawahi ona, nilitibiwa kifua ugonjwa ambao muhimbili walishindwa kuutambua. Kinondoni manyanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta hospitali ambyo inatoa huduma bora ktk vipomo na matibabu ya magonjwa ya kifua, mfumo wa upumuaji hasa Pneumonia, TB na matatizo ya mwili nzima lkn ni hapa Dar.
Mkuu huyu jamaa ametutoka?
Kuna ndugu anaitwa Carlos The Jackal amethibitisha hilo hapa Tanzia: Mwana JF Fasi Dwasi Ameaga DuniaMkuu huyu jamaa ametutoka?
Kubong'oto hamna wataalamu wa mfumo wa upumuaji, hawa wanapatikana muhimbili. Kibong'oto hudeal na matibabu ya TB Sugu
Rip
Ulipambana mpaka pumzi ya mwisho labda lack of information imekufanya umeacha ulimwengu huu.
Mbele yetu nyuma yako.
Upumzke kwa amani