Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 168
- 466
Habari nilikua naomba kwa mwenye ufahamu juu ya hili shirika la ICAP au hata yule ambae kashawahi kufanya nao kazi kuhusu mchakato wao wa ajira unakuaje ili anipe kidogo mwangaza.
Walitangaza nafasi na deadline ishapita lakini bado hatujui kama wako kwenye mchakato wa kuita watu kwa usaili au tayari washaita kwa nafasi walizotangaza mwezi wa tano.
Na je wanakuaga fair kwenye kuajiri au ndo mambo ya kamlete .
Natanguliza shukrani kwa watakaonijibu.