Shukrani mkuu kwa nondo zako1. Changamoto za biashara ya juice.
Inategemea unataka kuifanya katika level gani.
kama unaanza kwa kutembeza barabarani basi anza na dumu 2 lenye ladha tofauti, mwengine atataka umchanganyie, mwengine atapenda moja zaidi.
tamu
Weka lebel kwenye vikopo vyako vikiwa na jina lako la biashara
Buni juice yako ambayo ndio inaweza kuku introduce vyema kwenye market, huenda ipo lakini ongeza kitu kidogo
😂😂😂La muhimu ni vifungashio. Siyo unaenda kuokota chupa zilizokojolewa kwenye mitaro unatuwekea juice
Sasa hizi chupa ninazoziona wanauzia huku Mbezi Luis stendi wanazipata wapi, viwandani?.La muhimu ni vifungashio. Siyo unaenda kuokota chupa zilizokojolewa kwenye mitaro unatuwekea juice
Mkuu una sehemu ya biashara hii?1. Changamoto za biashara ya juice.
Inategemea unataka kuifanya katika level gani.
kama unaanza kwa kutembeza barabarani basi anza na dumu 2 lenye ladha tofauti, mwengine atataka umchanganyie, mwengine atapenda moja zaidi.
Pia jitahidi iwe imeganda vizuri maana wanywa juice wanapenda ikiwa ya baridi.
Pia hakikisha usiuze juice iliyolala ili kuepusha mtu kuumwa tumbo na kukosa wateja.
Kama unakibanda cha kuuzia juice basi hakikisha umeme uwepo, fridge liwepo, mabarafu ya kusagia yawepo na blender yako iwe kubwa na uwe msafi mno.
2.Soko
Huwezi kosa soko la juice kulingana na hali ya hewa ya Dares Salaam, sema inategemea na vionjo utakavyoviweka kwenye juice yako na bei pia, hakikisha kila mmoja mwenye 500 hakosi na mwenye 5,000 hakosi juice.
3. Mahitaji
Blender heavy duty zuri zaidi na litadumu, vipackage vizuri, mirija, fridge, maji masafi, chujio, vyombo vyengine
4. Juice pendwa ni Maembe, maparachichi, passion, ukwaju, ubuyu, rosella, juice ya tende, juice pendwa ya miwa na smoothies
5. Consistency (hata ikitokea hujapata wateja kwa ukubwa uliotegemea hakikisha unaamka asubuhi na kwenda kufungua biashara)
Pia unaweza kutoa sample za kuonjesha watu mwanzoni ili wajue jinsi juice yako ilivyo tamu
Weka lebel kwenye vikopo vyako vikiwa na jina lako la biashara
Buni juice yako ambayo ndio inaweza kuku introduce vyema kwenye market, huenda ipo lakini ongeza kitu kidogo
Blender heavy duty zinapatikana wapi? Nyingi zilizoko kwenye maduka, zinaitwa heavy duty lakini siyo... Na vifungashio vinapatikana wapi?? Kuepuka kutumia chupa zilizotumika za maji au vinywaji vingineMkuu una sehemu ya biashara hii?
Vifungashio vipo Kila mini SupermarketBlender heavy duty zinapatikana wapi? Nyingi zilizoko kwenye maduka, zinaitwa heavy duty lakini siyo... Na vifungashio vinapatikana wapi?? Kuepuka kutumia chupa zilizotumika za maji au vinywaji vingine
Mkuu mimi siishi huko ila kwa huku nilipo zipo za kila aina na og piaBlender heavy duty zinapatikana wapi? Nyingi zilizoko kwenye maduka, zinaitwa heavy duty lakini siyo... Na vifungashio vinapatikana wapi?? Kuepuka kutumia chupa zilizotumika za maji au vinywaji vingine
Shukrani kwa input yako.... Nitaangalia zaidi locally ...Mkuu mimi siishi huko ila kwa huku nilipo zipo za kila aina na og pia
Kwa mfano hii hapa ni £150 kama laki 5 na ina 2000wView attachment 2887089
Sawa nitacheki kama vitafaa, maana masoko ya hizi juisi ni huku lower end kwa sasaVifungashio vipo Kila mini Supermarket
Karibu sana mkuu, nafikiri huko zinaweza kuwa bei chini kwa ajili ya sisi huku tax ni kubwa sanaShukrani kwa input yako.... Nitaangalia zaidi locally ...
Yes huko Branding, mambo ya tax , kodi na mengineyo..litigation nk... yaani mambo kibao unajaziwaKaribu sana mkuu, nafikiri huko zinaweza kuwa bei chini kwa ajili ya sisi huku tax ni kubwa sana