Msaada kwa mwenye uzoefu na gari aina ya Toyota Nadia

Msaada kwa mwenye uzoefu na gari aina ya Toyota Nadia

Ni engine gani? Maana mimi nmeona Toyota Nadia ina Engine ya 3s ambayo inafunga kwenye Toyota Rav 4, Toyota Noah,Toyota Gaia na Toyota Ipsum. Na ni moja ya Engine imara sana kwa hayo magari nliyotaja. Sasa labda mtoa mada tuambie unayosema si imara ni ipi.
Screenshot_20200419-085525~2.png


Sikushauri hata mara moja.. Engine zake sio imara

Jr[emoji769]
 
Nunua gari hii haina shida. Kuna engine za D4 ambazo zina umeme mwingi na fuel consumption yake ni nzuri.ila hazina mafundi wengi hapa Tz.

Kuna engine ya 3S-Fe Hii Engine ni ngumu na inatumika kwenye Rav 4 old model,Toyota Noah old model, Ipsum Old model na Gaia. Ni jiwe...nadhani kwa hayo magari nliyokutajia utakuwa umeelewa.

Huu ni ushauri wa Kitaalamu.siyo kishabiki.

Naomba msaada mwenye uzoefu na gari hii TOYOTA NADIA
UIMAR, BEI NA ULAJI WA MAFUTA
 
Back
Top Bottom