Mwangesela
Member
- Apr 18, 2020
- 9
- 4
Naomba msaada mwenye uzoefu na gari hii TOYOTA NADIA
UIMAR, BEI NA ULAJI WA MAFUTA
Sikushauri hata mara moja.. Engine zake sio imara
Jr[emoji769]
Naomba msaada mwenye uzoefu na gari hii TOYOTA NADIA
UIMAR, BEI NA ULAJI WA MAFUTA
Unafahamu ni kwanini nyingi zinakufa baada ya muda mfupi lakini hizo nyingine ulizotaja bado zinadunda?
Jr[emoji769]
Mi namfahamu mtu anayo toka 2007 mpaka leo hajabadili engine.
VP kuhusu IST? Engine zake ni imara?Sikushauri hata mara moja.. Engine zake sio imara
Jr[emoji769]
Kinaweza kutoka Dar M,wanza?