upatikanaji wa spare za scania ni rahisi kuliko volvo nk. Coz zimejaa bongo.
Kama vipuli vya Volvo ni ghali kutokana na dealers wachache...Ni kitu gani kinawafanya watu wanaprefer kuwa dealers wa Scania wakati Volvo ni bei raisi zaidi ya Scania? Kwa mfano ukiwa dealer wa Volvo Dar es salaam ukaweza kuuza spares za Volvo kwa bei nzuri utapa wateja wengi kwa sababu watu wengi waprefer kununu Volvo over Scania kwa sababu ya unafuu wa bei ya Volvo...Kuna kitu kinamiss.Msaada baada ya manunuzi kwa vifaa vya VOLVO ni gharama kubwa sana kwani dealers wa VOLVO hapa AFRIKA MASHARIKI ni wachache sana= bei za juu sana katika vifaa na huduma!
Babu M ni hivi kwanza ufahamu Volvo ni kampuni kubwa kuliko Scania huko Sweden. Volvo imejikita zaidi soko la ndani la Sweden, wakati Scania wamejikita zaidi masoko ya nje. Kilichotokea ni kwamba Scania wamejimarisha katika mazingira tofauti tofauti duniani na hapa Tanzania waliingia 1973 wakawa wanaboresha magari ya kutumika hapa nchini kutokana na barabara zetu mpaka wakafanikiwa na kukubalika na matransporta wengi. Kutokana na hilo vipuri vikawa vinapatikana kwa wingi kutokana na wingi wa magari kuwepo nchini. Volvo ndiyo wananza kwa kusua sua na mpaka wajimarishe kwenye kuweka mabohari ya vipuri na wawakilishi mikoani kama walivyofanya Scania (Scania wana matawi Arusha, Mwanza na Mbeya. Dar wako Nyerere road, na Ubongo bus terminal mle ndani)wana kazi kubwa kukubalika. Nawasilisha.Watu wengi wanaojishungulisha na biashara za Transportation ambao ninawajua wanatumia malori aina ya Scania.Nimejaribu kuwauliza kwa nini wanatumia Scania na sio Volvo ambayo ni bei raisi ikilinganisha na Scania, Wameshindwa kunipa majibu ya kuridhisha.
Kama sijakosea Volvo ni kati ya kampuni inayoongoza kwa kuuza trucks dunia,kwa mantiki hiyo itakuwa aina tatizo lolote kubwa.
Kuna mtu yoyote anaelewa sababu ni nini anijuze?
Kama vipuli vya Volvo ni ghali kutokana na dealers wachache...Ni kitu gani kinawafanya watu wanaprefer kuwa dealers wa Scania wakati Volvo ni bei raisi zaidi ya Scania? Kwa mfano ukiwa dealer wa Volvo Dar es salaam ukaweza kuuza spares za Volvo kwa bei nzuri utapa wateja wengi kwa sababu watu wengi waprefer kununu Volvo over Scania kwa sababu ya unafuu wa bei ya Volvo...Kuna kitu kinamiss.
tunakasumba ya kufata mkumbo thats all akuna jingine wachache wakipenda k2fulani basi inawambukia wengine
Utatusaidia wengiBabu, nadhani basic economics principle ya demand and supply inaapply hapa, kwamba dealers wa volvo wako wachache kwa kuwa demand ya hizo parts ni chache kwani idadi ya volvo trucks nchini ni ndogo ukilinganisha na idadi ya scania trucks. On the other hand pia huenda hiyo demand kubwa ya parts za scania imesababisha uzalishaji mkubwa counterfeit parts kutoka kwa wale ndugu zetu na hizi mara nyingi huwa bei poa tu hivyo kila mmmoja anaweza. Sasa kwanini Scania na si volvo? Mimi nadhani ni belief tu, watanzania hawako flexible kihivyo, it takes time wao kujiadjust kwenye mazingira/vitu vipya. Nalinganisha hili na issue ya gear box, manual na automatic. Nakumbuka ilichukua muda sana kwa watanzania kuzikubali automatic gear boxes, ilikuwa ukindesha gari automatic unaonekana ni kituko kabisa lakini sasa hivi hawataki tena manual gear box. Mimi niko kwenye transport pia na mwanzoni mwa mwaka huu nilinunua volvo moja FM 12. Toka nimeinunua hii gari ikitoka safari ni kumwaga oil tu inaondoka tena wakati scania kila zikirudi mambo kibao ya kufanya kabla haijasafiri tena. Anyway, huenda kuna factors nyingi za kuziangalia lakini mm nahamia volvo na Mungu akipenda naongeza nyingine soon.
tunakasumba ya kufata mkumbo thats all akuna jingine wachache wakipenda k2fulani basi inawambukia wengine
Hiyo ya kwamba VOLVO ni bei nafuu kuliko scania umeipata wapi unaweza kutupa data linganishi
eg Volvo mpya ya Ton 10 ni $ ngapi VS Scania mpya Ton 10
Inawezekana hii ndio sababu.Kuna mtu alikuwa anataka kununua used scania nikamshauri kwa nini asinunue Volvo ambayo ina mwaka sawa na Scania na mileage hazija tofautiana sana lakini Volvo ni zaidi ya 10m cheaper than Scania.Aliendelea kusisitizia kwamba anataka Scania na alishindwa kutoa maelezo ya kina kwa nini hataki Volvo.tunakasumba ya kufata mkumbo thats all akuna jingine wachache wakipenda k2fulani basi inawambukia wengine
Mkuu asante kwa mchango wako ukizingatia wewe una Volvo.Siku zijazo nitakutafuta kwa ushauri zaidi kama biashara ya trasportation bado ni viable.Babu, nadhani basic economics principle ya demand and supply inaapply hapa, kwamba dealers wa volvo wako wachache kwa kuwa demand ya hizo parts ni chache kwani idadi ya volvo trucks nchini ni ndogo ukilinganisha na idadi ya scania trucks. On the other hand pia huenda hiyo demand kubwa ya parts za scania imesababisha uzalishaji mkubwa counterfeit parts kutoka kwa wale ndugu zetu na hizi mara nyingi huwa bei poa tu hivyo kila mmmoja anaweza.
Sasa kwanini Scania na si volvo? Mimi nadhani ni belief tu, watanzania hawako flexible kihivyo, it takes time wao kujiadjust kwenye mazingira/vitu vipya. Nalinganisha hili na issue ya gear box, manual na automatic. Nakumbuka ilichukua muda sana kwa watanzania kuzikubali automatic gear boxes, ilikuwa ukindesha gari automatic unaonekana ni kituko kabisa lakini sasa hivi hawataki tena manual gear box. Mimi niko kwenye transport pia na mwanzoni mwa mwaka huu nilinunua volvo moja FM 12. Toka nimeinunua hii gari ikitoka safari ni kumwaga oil tu inaondoka tena wakati scania kila zikirudi mambo kibao ya kufanya kabla haijasafiri tena. Anyway, huenda kuna factors nyingi za kuziangalia lakini mm nahamia volvo na Mungu akipenda naongeza nyingine soon.
Ndugu rejea somo la scales of economics na product branding.Kama vipuli vya Volvo ni ghali kutokana na dealers wachache...Ni kitu gani kinawafanya watu wanaprefer kuwa dealers wa Scania wakati Volvo ni bei raisi zaidi ya Scania? Kwa mfano ukiwa dealer wa Volvo Dar es salaam ukaweza kuuza spares za Volvo kwa bei nzuri utapa wateja wengi kwa sababu watu wengi waprefer kununu Volvo over Scania kwa sababu ya unafuu wa bei ya Volvo...Kuna kitu kinamiss.
Ukijaribu kuangalia bei ya used Dar na sehemu nyingine utaona kwamba bei ya Volvo ni raisi kuliko Scania, kwa hiyo inakupa picha ata mpya itakuwa hivyo hivyo.Hiyo ya kwamba VOLVO ni bei nafuu kuliko scania umeipata wapi unaweza kutupa data linganishi
eg Volvo mpya ya Ton 10 ni $ ngapi VS Scania mpya Ton 10
Za miaka gani?Zing, hilo la bei ni kweli na wala halina mjadala. Mimi naomba nitoe mfano wa 420 HP na si 10 ton kama ulivyoomba. Zunguka hapa town (dar) kwa dealers wa magari utakuwa volvo tractor ya 420 inauzwa on averange 38-40m wakati kwa scania ya capacity hiyo say 124 inauzwa 50-55m. So kwa bei ya trucks scania iko juu ya volvo wakati parts ni kinyume na sababu nimejaribu kueleza (my very honest opinion) kwenye post yangu ya awali. Kinachonisumbua mm na mtoa mada, hakuna reflection ya bei kwenye ubora. I do not believe for a moment kwamba scania ni bora kuliko volvo.
Speedy, pale nitakapokuwa na uwezo wa kusadia niko zaidi ya kuwa tayari so unakaribishwa sana sana