malimingiii
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 967
- 1,335
Za asubuh wanaJF...
Nilinunua Rav 4 imported from UK ikaja na funguo mbili zote nina remore control.
Funguo ya akiba sikuwah kuitumia. Kama wiki moja imepita ufunguo ukatumbukia kwenye maji nikararibu kuifungua haraka na kufuta maji ikaendelea kufanya kazi. Baada ya siku mbili ukaanza shida. Ukifungua kwa kutumia lock n unlock key mara igome mara ikubali. Nikaamua kuchukua ufunguo wa akiba... kinachotokea kwenye huu ufuguo wa akiba unawasha gari starter itanguruma tu engine haipokei.
Nimekuja kugungua hata nikibadil funguonitumia funguo ya ziada ile remote ya kwanza natakiwa niiweke karibu na ninapowashia ndipo engine itapokea.
Naomba mwenye ufahamu ili niweze kutumia huu ufunguo wa akiba maana kuna watu wananiambia natakiwa kuiprograme hii remote ya ufunguo wa akiba ili ukubali kakin hakuna anayejua jins ya kufanya.
Msaada kwenu wana JF