Msaada kwa sisi second round

yasin adam

Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
21
Reaction score
0
Ijapo kuwa profile zetu;zimeandikwa YOU HAVE BEEN SELECTED,na bado hatuna uhakika wa kupata hivyo vyuo ;kutokana na mdau mmoja kusema "mchaguzi utafanywa tens ktk chuo husika"je kuna ukwel hapo wadau?naombeni msaada wenu.
 
Sio kweli kwamba uchaguzi utafanywa tena katika vyuo husika
Wewe uliyechaguliwa kwenda chuo flani katika second round anza kujiandaa na safari,ni huko huko tu unapokwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…