texaz mc JF-Expert Member Joined Jan 15, 2016 Posts 371 Reaction score 205 Jan 3, 2017 #1 Habari zenu wana jf. Leo nimeona tulizungumzie swala hili la [HASHTAG]#kusahau[/HASHTAG](kupoteza kumbukumbu). kuhusu tiba yake na nn kifanyike kuzuia hali hiyo. Karibuni
Habari zenu wana jf. Leo nimeona tulizungumzie swala hili la [HASHTAG]#kusahau[/HASHTAG](kupoteza kumbukumbu). kuhusu tiba yake na nn kifanyike kuzuia hali hiyo. Karibuni
Principle girl JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,311 Reaction score 1,297 Jan 3, 2017 #2 Ngoja waje
W wibros Member Joined Dec 24, 2016 Posts 18 Reaction score 18 Jan 3, 2017 #3 Kuna mtu ana kibarango kichwani cha muda mrefu ametumia kila dawa imeshindikana msaada tafadhali.