Kama hujatumia dawa ya minyoo siku nyingi, jaribu.Salaam Doctors na wadau...ninatatizo la kuwashwa ilianza tumboni na miguuni na sasa matakoni na mapajani.Mara nyingi ikifika jioni ndio inaanza.Nimetumia dawa za allergy imegoma..nimetumia za kichina pia mpaka baadhi za kupaka lakini wapi.Nimetumia za minyoo pia lakini wapi.Naombeni msaada
Pole sana ikiwa wenzangu wamekupa ushauri haujakusaidia unaweza kunitafuta mimi dawa ya kuweza kukutibu maradhi yako ninayo ukihitaji dawa toka kwangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.Salaam Doctors na wadau...ninatatizo la kuwashwa ilianza tumboni na miguuni na sasa matakoni na mapajani.Mara nyingi ikifika jioni ndio inaanza.Nimetumia dawa za allergy imegoma..nimetumia za kichina pia mpaka baadhi za kupaka lakini wapi.Nimetumia za minyoo pia lakini wapi.Naombeni msaada