Nashukuru kwa ushauri mpaka ni kuwa tatizo si la muda mrefu ni kama three weeks na katika ukoo akuna mtu mwenye tatizo hilo na sasa yupo kwenye dozi za antibiotics ameanza juzi kwa hiyo tunaangalia maendeleo yake kwa ushauri wa madaktari na mara nyingi hali inakuwa mbaya usiku mchana kunakuwa na unafuu kidogoPole mkuu,
Upumuaji wake uko hivyo toka lini(kwa muda gani sasa)?
Je, kuna wakati upumuaji huo inazidi sana? ni muda upi usiku au mchana?
-Kuna ukaaji(mkao) wowote unaomsaidia mtoto,upi?
-Kuna dawa zozote anazotumia kumsaidia?
-Je, mtoto ana tatizo jingine tofauti na hilo mf. Homa(joto kali/dogo la mwili)? Kukohoa, Kutapika, kuharisha, vifundo kuuma n.k?
-Vipi katika familia(upande wa mzazi wa kiume na wa kike) kuna mtu/ndugu mwenye/aliyekuwa na ugonjwa wa Pumu(Asthma), Moyo?!
USHAURI:ni vizuri kufika hospitali mapema(matibabu ya watoto chini ya miaka mitano(5) ni bure kulingana na sera ya Taifa so utahudumiwa mapema.
Omega naomba ushauri now imetokea kama ulivyosema kakakwenye kupumua anabanwa pumzi au akipumua kawaida anaweka kituo usikute pumu inamnyemelea au mafuta yameziba vimishipa vya damu hivyo kusababisha inashindwa kupampu vizuri na kupitisha damu vizuri kwenda kwenye moyo
kitu cha kufanya hili kumpima mpandishe ngazi ndefu au apande kilima alafu mpime utoaji wake pumzi kama mtu aliyeishiwa na pumzi au anahema kawaida lakini kama anatafuta hewa halafu njoo unipe feedback nitajua nini cha
kukushauri