NENDA TRA
1. watakupa fomu ya kujaza kuomba ku -renew leseni yako- lazima uwe na TIN na leseni yako ya zamani na photocopy yake ( TIN Namba ipo kwenye kadi yako ya usajili wa gari)
2. Baada ya kujaza fomu utachukuliwa finger prints na picha yako hapo hapo TRA
3. Utakwenda Trafiki kupewa madaraja
4. Utarudisha formu TRA tena kurikodi hizo groups
5. Utarudi tena Trafiki for noting
6. Utarudi TRA kupewa fomu ya kulipia gharama za hiyo leseni yako mpya benki (gharama ni Tshs 40,000/= kumbuka kubeba kiasi hiki kwa ajili ya kulipia)
7. Utawasilisha TRA risiti uliyolipia benki nakupewa leseni yako mpya siku hiyo hiyo au kesho yake.
HAKUNA USUMBUFU. au UTAPELI .
MUHIMU: NENDA MWENYEWE
LIPA KODI KWA MANUFAA YA MAFISADI