Path Finder
Member
- Jan 28, 2011
- 50
- 8
Wadau nahitaji vifaa kwa ajili ya kufanya wiring kwenye ka-ujenzi kangu (nyumba) ambavyo ni 'genuine and high quality'. Kwa mwenye taarifa wapi nitavipata, tafadhali nijuze, ikiwezekana na bei zake. JF hakuna kinachoshindikana!!!!