Path Finder
Member
- Jan 28, 2011
- 50
- 8
Wadau nahitaji vifaa kwa ajili ya kufanya wiring kwenye ka-ujenzi kangu (nyumba) ambavyo ni 'genuine and high quality'. Kwa mwenye taarifa wapi nitavipata, tafadhali nijuze, ikiwezekana na bei zake. JF hakuna kinachoshindikana!!!!
mkuu wewe uko wapi
Kuna wapalestina wako posta wanauza vifaa vya umeme uliza wanavifaa vya umeme poa