Msaada kwa wajuzi wa accesories za simu

Msaada kwa wajuzi wa accesories za simu

drugdealer

Senior Member
Joined
Nov 8, 2024
Posts
133
Reaction score
245
Natanguliza shukrani

Kwa yeyote anaejua OTG wire cable naomba msaada wa bei na aina ipi ni nzuri kwa simu za android USB type C
 
Nunua Otg ambayo sio ya waya halafu nunua na card reader. Otg original elfu 5 card reader elfu mbili.
 
Nunua Otg ambayo sio ya waya halafu nunua na card reader. Otg original elfu 5 card reader elfu mbili.
msaada zaidi hapo kwenye card leader make mi nahitaji tu otg moja kwa moja ikonect na simu
 
Back
Top Bottom