drugdealer Senior Member Joined Nov 8, 2024 Posts 133 Reaction score 245 Mar 4, 2025 #1 Natanguliza shukrani Kwa yeyote anaejua OTG wire cable naomba msaada wa bei na aina ipi ni nzuri kwa simu za android USB type C
Natanguliza shukrani Kwa yeyote anaejua OTG wire cable naomba msaada wa bei na aina ipi ni nzuri kwa simu za android USB type C
F frnky New Member Joined Sep 13, 2024 Posts 3 Reaction score 13 Mar 4, 2025 #2 Nunua Otg ambayo sio ya waya halafu nunua na card reader. Otg original elfu 5 card reader elfu mbili.
Nunua Otg ambayo sio ya waya halafu nunua na card reader. Otg original elfu 5 card reader elfu mbili.
drugdealer Senior Member Joined Nov 8, 2024 Posts 133 Reaction score 245 Mar 4, 2025 Thread starter #3 frnky said: Nunua Otg ambayo sio ya waya halafu nunua na card reader. Otg original elfu 5 card reader elfu mbili. Click to expand... msaada zaidi hapo kwenye card leader make mi nahitaji tu otg moja kwa moja ikonect na simu
frnky said: Nunua Otg ambayo sio ya waya halafu nunua na card reader. Otg original elfu 5 card reader elfu mbili. Click to expand... msaada zaidi hapo kwenye card leader make mi nahitaji tu otg moja kwa moja ikonect na simu