Samaki Nchanga
Member
- Dec 31, 2018
- 95
- 55
Kuna PC yang HP Elitebook ile ya Fingerprint ina muda sijaitumia. Sasa juzi naiwasha inawaka vizuri kabisa tatizo ni keypads mpaka ulong press ndo inakubali yani ukibonya keypad inapiga kimlio flani hivi mpaka ubonyeze bila kuachia ndo herufi ina respond.
Je, yaweza kuwa tatizo window nibadili?
Nawasilisha
Je, yaweza kuwa tatizo window nibadili?
Nawasilisha