Hector Cooper JF-Expert Member Joined Apr 16, 2023 Posts 696 Reaction score 1,036 Dec 11, 2023 #1 Napenda kujua kuwa katiba ya Zanzibar imeeleza vipi pale ambapo Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) anapofariki au kupoteza uwezo wa kuongoza. Ni kiongozi yupi atakaeshika madaraka? Au utafanyika uchaguzi? Naomba kujua.
Napenda kujua kuwa katiba ya Zanzibar imeeleza vipi pale ambapo Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) anapofariki au kupoteza uwezo wa kuongoza. Ni kiongozi yupi atakaeshika madaraka? Au utafanyika uchaguzi? Naomba kujua.