Saint Murano
Member
- Mar 31, 2019
- 97
- 264
Hili ni moja ya wazo sahihi kabisaUpo mbeya sehemu gani,
Kuna maeneo yanahitaji ufungue banda la chipa kama upo jirani na vyuo,ufanye umachinga kwa kutembeza viatu na nguo hasa za kike,
Nunua viatu vya kiume vizuri nenda navyo tunduma katembeze,au vya kike nenda navyo kwenye minada msimu huu vinauzika sana viatu vya shule hasa wanafunzi kwenye minanda,yeboyebo usisahau kule vijijini.
Ukiweza nunua flash na memory card weka nyimbo za bongoflava nenda nazo kwenye minada utauza.
Hili ni moja ya wazo sahihi kabisa
Ila anatakiwa aseme mbeya sehemu gani yupo
Asije akawa yuko chunya akasema mbeya
Uko mbeya sehemu gani ?
Hili ni moja ya wazo sahihi kabisa
Ila anatakiwa aseme mbeya sehemu gani yupo
Asije akawa yuko chunya akasema mbeya
Hili ni moja ya wazo sahihi kabisa
Ila anatakiwa aseme mbeya sehemu gani yupo
Asije akawa yuko chunya akasema mbeya
Inguti anga isile kulonda amaisha akafukageSebho Ukutikoni? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwanjelwa hapo uwe unawahi kule sido kwa wauza viatu vya mtumba unanunua na kufifanyia usafi au marekebisho kama yapo kisha peleka chunya ubaruku tukuyu mbozi au kwenye minada ya kila wikiNiko huku mwanjelwa