Msaada kwa wale Geologist wa CoNAS please

Msaada kwa wale Geologist wa CoNAS please

kasinge

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2011
Posts
1,259
Reaction score
319
Kuna kijana wangu anasoma CBG na angependa kusoma Geology ambayo ime-specialize kwenye biology. Anapenda sana biology na anatafuta Course ambayo ina biology lengo ni kuwa aje afanye kazi kwenye sekta ya mafuta na gas.

Msaada: Je, kuna course kama hiyo hapo CoNAS?
 
Huyo atasoma petroleum geology hapa atadili na uchimbaji wa mafuta ila hiyo bios haiusiki hapa katika hii course kinachotakiwa n PCM ila ila kuna course nyingine kama vile mining surveyor huyu anahusika kuweka alama kwenye eneo husika linaloandaliwa kwa ajiri ya utafiti,

exploration geology huyu ndio mtafiti mwenyewe anadili na sampuli na kutoa takwimu kama eneo lipo sawa kwa prodution maana anatoa takwimu adi za kiwango cha madin yaliyopo ardhin na yatachimbwa ndan ya miaka mingapi ili kukwepa loose na kufanya geologocal maping ili kumrahisishia mchimbaji achimbe eneo husika ,

mining engoniering huyu n mchimbaji hapa utawakuta ma blaster wanadili na ulipuaji wa miamba ,na driller hawa n watoboaji wa miamba ili kijaza baruti kwaajiri ya ulipuaji na mining processing huyu n msafishaji anafanya purification.

Tunawakaribisha sana.
EARTH SCIENCE INSTITUTE OF SHINYANGA (ESIS) KWA MWAKA WA MASOMO 2015-2016.
 
Huyo atasoma petroleum geology hapa atadili na uchimbaji wa mafuta ila hiyo bios haiusiki hapa katika hii course kinachotakiwa n PCM ila ila kuna course nyingine kama vile mining surveyor huyu anahusika kuweka alama kwenye eneo husika linaloandaliwa kwa ajiri ya utafiti,

exploration geology huyu ndio mtafiti mwenyewe anadili na sampuli na kutoa takwimu kama eneo lipo sawa kwa prodution maana anatoa takwimu adi za kiwango cha madin yaliyopo ardhin na yatachimbwa ndan ya miaka mingapi ili kukwepa loose na kufanya geologocal maping ili kumrahisishia mchimbaji achimbe eneo husika ,

mining engoniering huyu n mchimbaji hapa utawakuta ma blaster wanadili na ulipuaji wa miamba ,na driller hawa n watoboaji wa miamba ili kijaza baruti kwaajiri ya ulipuaji na mining processing huyu n msafishaji anafanya purification
Tunawakaribisha sana
EARTH SCIENCE INSTITUTE OF SHINYANGA (ESIS) KWA MWAKA WA MASOMO 2015-2016 🙂🙂

Nzuri sana hiyo, ila we wa CBG njoo aplied geology UDOM.
 
usiwe na shaka kama anataka hivyo mwambie atie tu msuli then aje achukue BSC with geology degree then masters achukue paleontology naisi bilogy yaje itakuwa imeguswa huko....
tunamkaribisha ulimwengu wa jiolojia...
 
usiwe na shaka kama anataka hivyo mwambie atie tu msuli then aje achukue BSC with geology degree then masters achukue paleontology naisi biology yake itakuwa imeguswa huko....
tunamkaribisha ulimwengu wa jiolojia...
 
Paleontology n mtintil mzito kitu cha rntombment hicho:thumbup:
 
Back
Top Bottom