msaada kwa wale mliopo vyuo vikuu

msaada kwa wale mliopo vyuo vikuu

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
kwa taarifa zilizorasmi tcu watatoa majibu tarehe 22 sept, sasa na vyuo vingi eg.makumira wanaripoti tarehe 29 sept shida inakuja nikwenye kujiandaa naomba kuuliza ada za usajili kwa udsm,saut,udom na mzumbe na kama nikikosa mkopo cozi ya sheria unalipa ada ya shilingi ngapi kwa kuanzia? Kwa sasa ada udsm ni 1.5m,mzumbe 1.3m, udom 1.5m saut 9.5k mchango wako ni wamuhimu. Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom