Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Wakuu mwaka jana saut walikuwa wanatangaza evening program kwa level ya bachelor na watu weng sana waliapply nikiwemo na mimi pia walisema masomo yangeanza mwezi wa 8 lakin hawakuanzisha had muda ukapita sasa nashindwa kuelewa lengo lao lilikuwa ni nin au kula hela zetu za 4m pia nataka kujua kama mpango huo utafanikiwa mwaka huu
Waliniambia kuwa kuna mambo fulan yamewafanya washindwe kuanzisha ila mwaka ndiyo uhakika zaidiUlipofatilia hiyo mwaka jana uliambiwaje?
mmh nimemaliza pale chuo lakn hyo program sjawah ona may b next year wanaeza anzsha