Hebu ingia kwa web yao they have analysed it clearly...
Kama upo udsm unaweza ukaenda 3weeks before opening date (sio lazima)
Kuhusu ile form ya kucheki afya,unashauriwa uidownload (sio lazima)
Hii ni dondoo tu lkn unaweza kuingia kwa web yao then usome vizuri
kaka soma maelekezo kwenye tovuti ya chuo yaani www.udsm.ac.tz . tarehe ya kuripoti ni 12/10/2013. mdogo wangu form zote utazipata chuo siku ya kuripoti.ubarikiwe na bwana
kaka soma maelekezo kwenye tovuti ya chuo yaani www.udsm.ac.tz . tarehe ya kuripoti ni 12/10/2013. mdogo wangu form zote utazipata chuo siku ya kuripoti.ubarikiwe na bwana