msaada kwa wale wanabiashara

Yasin Yahya

Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
33
Reaction score
0
Habar?
Mwaka jana nilipeleka maombi TIA nilikuw nataka kusoma Account katika ngaz ya cheti ila sikufanikiwa kupata nafasi.
Alafu mbaya zaidi niliapply TIA tu kwa sababu muda ulikuwa umeisha wa kujaribu kuapply vyuo vingine.
Katika cheti changu nina
Commerce-D
B/Keeping-D
Biology -D
Maths. -C
masomo mengne ndo hivyo tena majanga.
Nia yangu ni kusoma A/C
na nilipang mwaka huu nijaribu tena kuomba.
Naombeni ushauri nikaombe wapi na wapi huenda nikapata nafasi siunajua tena kila sehemu utakayo peleka maombi ela inahitajika,kwa hiyo mnanishaur nikaombe wap na wap nafasi y kujiung n chuo?
 

Nenda IRINGA RETCO BUSINESS COLLEGE,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…