Msaada: Kwa wale wanaoishi China tu

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Wakuu wa Nchi, naombeni kwa wale ndugu zetu wanaoishi China kama Kuna Dawa za KICHINA za kutibu kisukari type 2, diabetes, za kichina.

Natanguliza shukrani mabibi na mabwana .
 
Ngoja nitajaribu kutembelea duka za dawa then nitakujuza kama zinapatikana usihofu.!
 
Naomba kujua wadau, Hivi huu ugonjwa wa Kisukari unasababishwa na nini hasa? na ili mtu ajikinge asipate ugonjwa huu, nini cha kuzingatia/kufanya? Maana sasa naona huu ugonjwa ushakuwa janga la Dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…