msaada. kwa wale wenyeji wa ulanga ni watu wapi hasa (wakulima)wanaotakiwa kuhama pori la kilombero

msaada. kwa wale wenyeji wa ulanga ni watu wapi hasa (wakulima)wanaotakiwa kuhama pori la kilombero

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,763
Reaction score
5,607
habari zenu wadau. ninatafuta eneo la kulima maeneo ya wilaya ya ulanga kwenye bonde la mto kirombero ( ilagua). nilistushwa niliposikia kuwa kuna watu walioingia kwenye hifadhi ya pori la kirombelo. kama kuna mtu anataarifa ni maeneo yapi ambayo watu wanatakiwa kuhama. ninaombeni msaada wadau kamtaji nilikodunduliza kasije kakaishia hewani.
 
Back
Top Bottom